Mamu Og - Umesikia | Download now mp3Mamu og ni msanii kutoka Smart Africa Rec Chini ya mtu mzima Djnguto na mamu ni msanii wa pekee Wa singeli anaye chuana na mimah Hii nyimbo ya mamu og Imesimamiwa na producer LITMAS Ndani ya SMART AFRICA REC pamoja na DJ NGUTO

Previous Post Next Post

Videos