Home ALIKIBA Malipo Malipo kwa Wasanii wote wa Tanzania

Malipo Malipo kwa Wasanii wote wa Tanzania

0

  

DJ NGUTO na Mzikitap hulipa tsh ngapi wasanii, Mtandao wa kupakuwa na kusikiliza mziki mtandaoni mzikitap,

Hivi kalibuni imeamua kuanzia mwezi disemba 2020 na toka kuanzishwa kwa mtandao wetu, kuwapatia wasanii haki ambayo wataipata kupitia mshabiki zao watako sikiliza kazi zoa mtandaoni kwa sasa mtandao wetu ume anza kuwalipa wasanii kwa mfumo wa watu wanao sikiliza tu

Msanii atapata malipo mala mbili (2) X katika ngoma yake moja, Malipo hayo yanapatikana pia kupitia mtandao wa DJ Nguto na mtandao wetu pia

Kupitia mzikitap msanii atapata Tanzania Shilingi 2000 kutoka kwa wafuasi 1000 watako sikiliza kazi hiyo, Pia msanii tapata zawadi tofauti tofauti kupitia kazi yake.

Pia kupitia kwenye mtandao wa DJ Nguto msanii atapata Tanzania Shilingi 700. kwa pamoja msanii anavuna Tanzania Shilingi 2700

hayo ni mapato ambayo msanii atayapata kupitia kazi yake moja tu

Kwa maelekezo zaidi wasiliana nasi kupitia email; Mzikitap@gmail.com

kwa mawasiliano piga no 0628 952 055 au 0692 554 554

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here